Wazee wetu wanateseka Ngorongoro

Wazee wetu wanateseka Ngorongoro

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
WAZEE WETU WANATESEKA NGORONGORO. TUNAKUFA

“Hebu muangalieni tu angalieni bibi kama huyo?, Hebu muangalieni huyo bibi huyo hapo, angalia hiyo, unafikiri huyo bibi ni Afya yake hiyo?

“Hata ukiangalia tu katika hali ya kawaida, Naombeni ndugu zangu hebu angalieni hiyo hali. INATISHA. TUNAUMIA”

“Mama yangu mzazi yeye mwenyewe ni zaidi ya hapo”

“….na unapowaona hawa watu hawa. Hawa Afya zao sio Afya za kawaida, wanateseka hawa watu msiwaone.. tena hawa ni wale wanaume wanaojituma katika familia zao, ndio maana unawaona hivyo”

“Kuna wazee ukiwaona utalia hata kama huwafahamu. HAKI YA MUNGU” - Anasema Mwalimu Ndwara Ole Ngoishie, Mkazi wa Ngorongoro anayetaka serikali iwahamishe yeye na wakazi wenzake MSOMERA
 
Attachments

  • VID-20230424-WA0021.mp4
    14.4 MB
WAZEE WETU WANATESEKA NGORONGORO. TUNAKUFA

“Hebu muangalieni tu angalieni bibi kama huyo?, Hebu muangalieni huyo bibi huyo hapo, angalia hiyo, unafikiri huyo bibi ni Afya yake hiyo?

“Hata ukiangalia tu katika hali ya kawaida, Naombeni ndugu zangu hebu angalieni hiyo hali. INATISHA. TUNAUMIA”

“Mama yangu mzazi yeye mwenyewe ni zaidi ya hapo”

“….na unapowaona hawa watu hawa. Hawa Afya zao sio Afya za kawaida, wanateseka hawa watu msiwaone.. tena hawa ni wale wanaume wanaojituma katika familia zao, ndio maana unawaona hivyo”

“Kuna wazee ukiwaona utalia hata kama huwafahamu
. HAKI YA MUNGU” - Anasema Mwalimu Ndwara Ole Ngoishie, Mkazi wa Ngorongoro anayetaka serikali iwahamishe yeye na wakazi wenzake MSOMERA
Haya sasa waliokuwa wanapiga kelele wasihame wasihame wamewakimbia.
 
Back
Top Bottom