Wazee Yanga: Uonevu ukiendelea dhidi ya Yanga SC tutakwenda mahakamani kusitisha Ligi

Wazee Yanga: Uonevu ukiendelea dhidi ya Yanga SC tutakwenda mahakamani kusitisha Ligi

Siku moja baada ya Klabu ya Yanga kufanya mkutano na waandishi wa vyombo vya habari, wakieleza malalamiko yao kuhusu uendeshaji wa Ligi Kuu Tanzania NBC Premier League...
Hawa wazee wawe wanawafundisha namna Masuala ya mpira yanavyoshighulikiwa huko mahakani TFF haishitakiwi mkabaki salama baba yake aka FIFA watawapiga rungu msambae
 
Mwakalebela alishesema waamuzi wako fair sana sasa nn tena wanalalama hawa babu zetu
 
Ama kweli Nyani haoni kundule
Yale wanaonufaika nayo na yakawaathiri wengine kama walipofungwa goli halafu refa akasema ni kona (goli kona)wao hawataki kugusia kabisa

Ndo tafsiri hii ya Nyani kuona Kundule ni ngumu.
 
Back
Top Bottom