Wazeeee wa kubett

Utasababisha tukakope saccos pesa tubett..
 
Unatumia kampuni gani nijuavyo mimi meridiani hawana uwezo wa kutoa m10
 
Duh huyu jamaa ni shidaaa juzi aliweka m3.5 now m3 pongezi kwake
 
Duuh Ushamba mzigo..!!!

Mbona mi sielewi hapo.. Kwamba hapo ndo kabet au? Hiyo 3ml kalipa kwa mchezo mmoja au kafanyaje? Naona kuna Goals options, kwamba anataikiwa kubet goli litaingia kipindi gani na dk ya ngapi? Inathamani gani kulinganisha na kubet matokeo ya mechi nzima bila kujali muda wa magoli kuingia?

Nipate wa kunielewesha hapa

BACK TANGANYIKA
 
We BAVICHA unachojua ni kunywa viroba na maandamano tu
 
We BAVICHA unachojua ni kunywa viroba na maandamano tu

Aisee..!!

Naifadhi maneno yangu, si kwamba sijui au sina chakuongea... hapana!, nimeamua kukuheshimu, Tambua hilo Inatosha...!!!

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…