Wazijua siri za Vatican?

Wazijua siri za Vatican?

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
 
Uzi tayari?...
Jf inabidi kuwe na mchujo wa kina zaidi kuhusu habari na hoja zinazoletwa humu ili kuepukana na habari za uongo na kuokoteza bila hata kuwa na ushahidi wa vyanzo vya uhakika na kuaminika kwa habari au hoja husika.
YinYang
 
Wana chumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Lete visithibitisho to back up your words!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nayajua Mengi san kuhusu Vatican Siku nikiwa na Muda mzuri nitatoa somo humu, na sitosema nimejuaje ila Vatican Imeficha vitabu vikubwa Zaidi ya 11,

ambavyo kam vikijulikana basi Waafrica Hawatotaman hata Kumuona Mtu mweupe na Waafrica hawatotaman hat kusikia tena neno Msikiti au kanisa,

Yule Papa anajua kila kitu Pamoja na viongozi wengne Wa ngazi ya Daraja la Kwanza Wanaujua Ukweli wote

NB: Hakuna Ikulu au Benki yoyote inayolindwa kuliko Chumba cha Siri cha Vatican Kilindwachwo 24/7 na watu wasiojua hata wanachokilinda ni kitu gani.
 
Wana chumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Siri na wewe ukazijuaje?....
 
Ukisikia online neno siri ujue unataka kupigwa.

Sasa wewe umejuaje kama ni siri.
Alafu vitabu vya kidini havipatikani Vatican bali tukohuko walioviandika waliishi.
Alafu viliandikwa na kusambazwa kwa wahusika au walengwa wa kwanza kuandikiwa, hawakuiandikia vatican ivifiche ili iweje.

Akili yq chekechea tu inakutaka utuombe radhi kwa kushare mavitu ya kuungaunga.
 
Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
💯% 🚮
 
Back
Top Bottom