Ametiza miaka 75Wewe umejuaje?
TutaaminijeAmetiza miaka 75
Lete visithibitisho to back up your words!Wana chumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.
Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.
Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.
Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Siri na wewe ukazijuaje?....Wana chumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.
Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.
Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.
Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Umeyajulia Google bila shaka?Nayajua Mengi san kuhusu Vatican Siku nikiwa na Muda mzuri nitatoa somo humu, na sitosema nimejuaje ila Vatican Imeficha vitabu vikubwa Zaidi ya 11...
💯% 🚮Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.
Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.
Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.
Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Dimensia.Wewe umejuaje?