UdakuziMtandaoni
Member
- Oct 9, 2012
- 39
- 23
sasa kwa nini waaache kazi zao?Nipesa yao wenyewe ndo imewapeleka mkuu
Kweli ni rahakuishi hii nchi n raha sana
Kuwa makini broo, usije kuswagiwa na acc.Jana nimepost kathread kangu naona jamaa wamekaswaga. Huu ni ushenzi sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jana nimepost kathread kangu naona jamaa wamekaswaga. Huu ni ushenzi sana
Kumbe hata wewe, nilidhani pekeyangu. Unajua kuna wakati mods hata hawasomi yaliyoandikwa. Kwa kweli wamenikwaza sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi juzi usiku mnene nilihangaika kuandaa uzi nikaupost, nilipoamka asubuhi nikakuta Mods washapitisha jambia lao, nikakasirika nikaamua kukaa kimya tu.
Asante sio Broo hapo umeteleza sio kuanguka. Wakuswaga nafungua nyingine kwani wanashida gani?Kuwa makini broo, usije kuswagiwa na acc.