Wazima humu

Wazima humu

Joined
Oct 9, 2012
Posts
39
Reaction score
23
Uamuzi wa kupeleka Wabunge kushangilia Stars sio wa kiungwana hata kidogo.

Kwani kazi zao za Bungeni nani anawafanyia?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu kuna m-bunge anataka bangi ziruhusiwe
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mimi juzi usiku mnene nilihangaika kuandaa uzi nikaupost, nilipoamka asubuhi nikakuta Mods washapitisha jambia lao, nikakasirika nikaamua kukaa kimya tu.
Kumbe hata wewe, nilidhani pekeyangu. Unajua kuna wakati mods hata hawasomi yaliyoandikwa. Kwa kweli wamenikwaza sana
 
Back
Top Bottom