Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 12,325
- 38,203
HahahahahaaaaHaina noma kimwana.
Sema nimecheka kishenzi comment yako ya pili nani bibie k we umeireply fasta kudadeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaaaaHaina noma kimwana.
Sema nimecheka kishenzi comment yako ya pili nani bibie k we umeireply fasta kudadeki.
Uhuhuu, utata wangu nini tena?Hahahahaa yap!!! nimeiona.....af we mtata!!!
Unakokaa miswaki hakuna au uvivu wa kupiga?Hii thread ni ya kiboya hv ila reply zake sasa hahahahahahaha zimefanya nipunguze harufu ya mdomo
Unakokaa miswaki hakuna au uvivu wa kupiga?
Pole ila karibu tena.Nimepoteza my muda
Wengine hawaelewi hata umuhimu wa majukwaa.Utani kwenye jukwaa la utani sio haramu