Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
lakini mimi nachojaribu kufikiria ni kwamba hii ni mara ya kwanza kwa mawaziri kukubali ukweli, wengi huwa wanajibu ovyo ovyo nk, lakini huyu Gentleman amekubari kabisa, ameonyesha directly kuwa pale kweli kuna makosa yametendeka, in the history of these ministers, i bet this is first time to agree a sensitive matter from opposition presenter, hapa mimi Mwandosya nimemfurahia sana, the guy is smart and we need other MN to act in such manners and work as examples.
rom
Na Ramadhan Mbwaduke
"Kama Slaa atakuwa na nyaraka zaidi ya hizi anazosema, nitafurahi akinionyesha... kwa sababu lengo letu ni moja ambalo ni kuhakikisha kuwa wananchi wanapata maji," akasema Prof. Mwandosya.
Aitwe kwa kusudi la kusimamishwa tena ila kwa kufuata taratibu, au kumrudisha kazini moja kwa moja? Majibu ovyo ovyo.Kuhusiana na kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa Fedha, Prof. Mwandosya akasema: "Tunakiri kuwa taratibu hazikufuatwa... tumeelekeza aitwe tena, taratibu zifuatwe," akasema.
hivi kazi ya wapinzani ni kukosoa tu na kutafuta mabomu?!
Aitwe kwa kusudi la kusimamishwa tena ila kwa kufuata taratibu, au kumrudisha kazini moja kwa moja? Majibu ovyo ovyo.
Mwandosya is too big kwa kuwa naye ni mwizi mkubwa na fisadi in kind wote tunajua habari zake ama ? Prof huyu sijui hata inakuwaje lakini anyaway hata nakosa la kusema.Mwandosya ni fisadi mkubwa tu na mkabila mno .
Mambo aliyosema Mwandosya juu ya Slaa ni haya:
1. Slaa amekuwa cosistent katika ku-present issue hiyo.
2. Kazi anayoifanya Slaa ni nzuri na ina nia njema
3. Kila akimwona Slaa kabeba mkoba wake anajua humo kuna nyaraka za serikali.
Kwa kweli mimi nilivyomuona wakati akiyasema hayo katika kujibu hoja ya Slaa, niliona akiwa katika hali ya ku-appreciate hoja ya Slaa.
Naungana na wale wanaompongeza Mwandosya.
"Aluta continua Dr. Slaa"
Wewe anayejihita nyuki usilete ushabiki hapa."Mh. mwandosya ni mtu mahiri na makini sana katika utendaji wake" Umahiri gani wakati amekiri kwamba taratibu hazikufuatwa kumfukuza huyo mkurugenzi wa fedha? Pili "hivi kazi ya wapinzani ni kukosoa tu na kutafuta mabomu"Wewe ubadhirifu wa TSh bilioni 2.1 unaona si hoja ila ni mabomu tu.Ndugu yangu uwe mzalendo acha ushabiki.