Waziri akiri Slaa noma!

Waziri akiri Slaa noma!

lakini mimi nachojaribu kufikiria ni kwamba hii ni mara ya kwanza kwa mawaziri kukubali ukweli, wengi huwa wanajibu ovyo ovyo nk, lakini huyu Gentleman amekubari kabisa, ameonyesha directly kuwa pale kweli kuna makosa yametendeka, in the history of these ministers, i bet this is first time to agree a sensitive matter from opposition presenter, hapa mimi Mwandosya nimemfurahia sana, the guy is smart and we need other MN to act in such manners and work as examples.
rom
 
Mimi binafsi nampongeza Dr Slaa kwani ni mtu mahiri asiyeogopa huu ndio muda wa kufichua MAFISADI PAPA NA NYANGUMI
 
Mambo aliyosema Mwandosya juu ya Slaa ni haya:

1. Slaa amekuwa cosistent katika ku-present issue hiyo.
2. Kazi anayoifanya Slaa ni nzuri na ina nia njema
3. Kila akimwona Slaa kabeba mkoba wake anajua humo kuna nyaraka za serikali.

Kwa kweli mimi nilivyomuona wakati akiyasema hayo katika kujibu hoja ya Slaa, niliona akiwa katika hali ya ku-appreciate hoja ya Slaa.

Naungana na wale wanaompongeza Mwandosya.

"Aluta continua Dr. Slaa"
 
lakini mimi nachojaribu kufikiria ni kwamba hii ni mara ya kwanza kwa mawaziri kukubali ukweli, wengi huwa wanajibu ovyo ovyo nk, lakini huyu Gentleman amekubari kabisa, ameonyesha directly kuwa pale kweli kuna makosa yametendeka, in the history of these ministers, i bet this is first time to agree a sensitive matter from opposition presenter, hapa mimi Mwandosya nimemfurahia sana, the guy is smart and we need other MN to act in such manners and work as examples.
rom

What else do you expect from a presidential candidate for the coming elections? Lazima ajitahidi kuonekana he is different from the rest! Anyway, kama alifanya vile kukubali makosa kwa nia njema then he deserves to be praised maana katika awamu hii kazi ni kuficha uchafu under the carpet kila watu wanapojaribu kuuweka hadharani.
 
Na Ramadhan Mbwaduke


"Kama Slaa atakuwa na nyaraka zaidi ya hizi anazosema, nitafurahi akinionyesha... kwa sababu lengo letu ni moja ambalo ni kuhakikisha kuwa wananchi wanapata maji," akasema Prof. Mwandosya.


haya ndo majibu ovyo ovyo Zitto alikuwa anaongelea. Sasa wewe as the person in charge unatafuta data kutoka kwa upinzani juu ya wizara yako kweli??? Huu ndo ujinga anaondeleza Mwandosya. Kweli hafai kuwa profesa huyu mtu. Kama hujui wizara yako, step down. Hii inatupa picha ya mawaziri na wizara zao. Hawajui kitu kabisa. Leo muulize wanagawa maji kiasi gani...HAJUI. How do we expect to develop, kama viongozi hawana 'passion' na kazi yao? Yani nimechoka kabisa. This sucks!!

Kuhusiana na kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa Fedha, Prof. Mwandosya akasema: "Tunakiri kuwa taratibu hazikufuatwa... tumeelekeza aitwe tena, taratibu zifuatwe," akasema.
Aitwe kwa kusudi la kusimamishwa tena ila kwa kufuata taratibu, au kumrudisha kazini moja kwa moja? Majibu ovyo ovyo.
 
hivi kazi ya wapinzani ni kukosoa tu na kutafuta mabomu?!

Nyuki,
Kufichua uovu, uwizi na ufisadi wa aina yoyote siyo kukosoa wala kutafuta mabomu; ni kusaidia kuwarudisha kwenye mstari unaotakiwa waliopewa dhamana ya kusimamia maamuzi halali kwa faida ya wananchi.

kwa mfumo wa sasa wapinzani hawajapewa kusimamia utekelezaji wa yaliyoamuliwa kwa faida ya wananchi wote lakini wanao wajibu kama wananchi (wadau) na wawakilishi wa wananchi (kwa wabunge wa upinzani) wa kuhakikisha maamuzi na utekelezwaji wake vinafanywa kama ilivyokusudiwa. hata wewe Nyuki unao huo wajibu wa kulinda mali za wananchi.
 
Aitwe kwa kusudi la kusimamishwa tena ila kwa kufuata taratibu, au kumrudisha kazini moja kwa moja? Majibu ovyo ovyo.

Ndiyo mkuu, kwa kosa la kukataa kushiriki ufisadi. Si umeambiwa alikuwa mtu wa fedha yule, sasa kwa kukataa kwake fedha za kufisadiwa zingepitia wapi wakati mtunza fedha amegoma!! Kwani Steven Kibona (RIP) aliondolewaje kwenye uwaziri wa fedha? Si alikataa kutoa fedha Kwa Chama Chetu Mafisadi
 
Mwandosya is too big kwa kuwa naye ni mwizi mkubwa na fisadi in kind wote tunajua habari zake ama ? Prof huyu sijui hata inakuwaje lakini anyaway hata nakosa la kusema.Mwandosya ni fisadi mkubwa tu na mkabila mno .

Mmh! mm cjui nitahabarishe bac ufisadi wake..ama? unalo la kusema, uwanja wako endelea... huu ni wakati wa uwazi na ukweli.
 
Hata mimi nakubaliana na wachangiaji wengine kuwa Mark Mwandosya ni mtu makini sana,japo ukisoma hiyo habari kwa makini unaona wazi kuwa amekwepa hoja ya ufisadi iliyowakilishwa na Mh.Dr.Slaa,ila ameikwepa kisomi sana.Laikini kila kitu kimeanikwa kuhusu huu mradi wa maji, mtu anafukuzwa kazi kisa kakataa dili, this crazy, how comes, inabidi wale wote waliohusika kumsimamisha kazi wafukuzwe kazi mara moja, sasa inavyoonyesha kwa Tanzania, tumefikia hatua,kwamba kiongozi mwadilifu sasa ni adui mkubwa sana kwa baadhi ya watu,kisa anatishia maslahi yao,Non sense,Let us change, otherwise hatutafika popote,absolutely we won't make it.
 
Mambo aliyosema Mwandosya juu ya Slaa ni haya:

1. Slaa amekuwa cosistent katika ku-present issue hiyo.
2. Kazi anayoifanya Slaa ni nzuri na ina nia njema
3. Kila akimwona Slaa kabeba mkoba wake anajua humo kuna nyaraka za serikali.

Kwa kweli mimi nilivyomuona wakati akiyasema hayo katika kujibu hoja ya Slaa, niliona akiwa katika hali ya ku-appreciate hoja ya Slaa.

Naungana na wale wanaompongeza Mwandosya.

"Aluta continua Dr. Slaa"

Kipengele namba 3 hakutakiwa kukisema kama kilivyoandikwa hapo, hiyo ni dalili ya kumchongea serikalini kwa sababu ni kosa kisheria kuwa na nyaraka za serikali. Nadhani alitakiwa atoe credit zaidi kwa kusema kwamba Dr. Slaa huwa anakuwa na ushahidi wa tuhuma anazozitoa na kama ana ushahidi zaidi naomba anipe ili tuufanyie kazi. Document ya serikali ikishakuwa na madudu kama hayo inakuwa disqualified kuwa nyaraka ya serikali. Nadhani ndiyo maana kila siku akina Marmo, Sofia Simba na Pinda huwa wanatishia wabunge kwamba wanaotembea na nyaraka za serikali watashikwa, mbona sijaona wakimshika Dr Slaa? Wala sijawahi kusikia Polisi ama Usalama wa Taifa wamevamia chumba cha Dr. Slaa hapo Dodoma ili kusaka hizo nyaraka za serikali.

Ili kuonyesha kwamba Prof. Mwandosya alijibu hoja ya Dr. Slaa kikamilifu, alitakiwa aeleze: Je, hao watuhumiwa wa kumfuta mtu kazi kwa kugoma kushiriki 'dili' wamefanywa nini? Je, wizara imefanya nini kuhusu huo mkataba ambao haukufuata sheria ya manunuzi? Je, wafanyakazi waliohusika kuvunja sheria ya manunuzi ya serikali wamechukuliwa hatua gani? Kama angejibu maswali hayo ningeona kwamba amejibu hoja ya Dr. Slaa kwa ukamilifu.

Pamoja na hayo, kumpa credit mpinzani (Dr. Slaa) inatosha kuonyesha uungwana wa Prof. Mwandosya. Wangekuwa mawaziri fulani fulani ungesikia vijembe tu badala ya ku-appreciate na kuahidi kutoa ushirikiano just in case kuna more evidence. Na nina uhakika kuna watu wangesikia kitisho cha nyaraka za serikali kwamba Dr. Slaa alizipata wapi na ilikuwaje akazipata. All in all Mwandosya ameonyesha kuheshimu maoni/hoja za wapinzani.
 
This ongoing ordeal of obscenely overzealous oversensationalization by some unhampered and unimaginatively uninspiring ubiquitous usurpers must be exposed as the excess excreta that it is.

This maddenning masquerade must be machete massacred for it's moribund morbid melee.The devious devices and serenading skulldudgery slumping our statuses and standards for scribes shall be stopped suddenly and succinctly by all sane scruples.

I am not looking for talmudic tepidity or even a juggernault of a jolt of jailable jahwistic journalism coupled with the wink of a wit of bohemic balance, just give me the freaking facts.
 
Last edited:
Kuna tetesi toka shinyanga kuwa bw.Mwibula alikutwa na mafaili mchagoni (nahisi mihuri ilikuwa mvunguni) ndo akapigwa kibuti, sasa wafanyakazi wamegoma hadi dr.slaa awaombe radhi! makubwa haya tena!

kuna mengi yakujua hapa, nadhani kamati husika ya bunge ikishirikiana na CAG PPRA ifuatilie hili na kuhakikisha haki inatendeka.
 
Wewe anayejihita nyuki usilete ushabiki hapa."Mh. mwandosya ni mtu mahiri na makini sana katika utendaji wake" Umahiri gani wakati amekiri kwamba taratibu hazikufuatwa kumfukuza huyo mkurugenzi wa fedha? Pili "hivi kazi ya wapinzani ni kukosoa tu na kutafuta mabomu"Wewe ubadhirifu wa TSh bilioni 2.1 unaona si hoja ila ni mabomu tu.Ndugu yangu uwe mzalendo acha ushabiki.
 
Wewe anayejihita nyuki usilete ushabiki hapa."Mh. mwandosya ni mtu mahiri na makini sana katika utendaji wake" Umahiri gani wakati amekiri kwamba taratibu hazikufuatwa kumfukuza huyo mkurugenzi wa fedha? Pili "hivi kazi ya wapinzani ni kukosoa tu na kutafuta mabomu"Wewe ubadhirifu wa TSh bilioni 2.1 unaona si hoja ila ni mabomu tu.Ndugu yangu uwe mzalendo acha ushabiki.

This one would be fit for Dilungaing Dilunga!
 
Hapa inatakiwa muelewe kuwa hayo wanayoyapeleka akina SLaa ambayo wenyewe mnayaita mabomu yeshakuwa ni kama kamchezo tu na yeshazoeleka na ndio kama hivyo hupigwa chenga kirahisi na mwisho waliolipua na waliolipuliwa wataunga mkono na mambo kupitishwa kirahisi ,kuna mbunge mmoja aliwashangaa wale wanaolipua mabomu na baadae kupitisha bajeti bila ya kupata suluhisho la bomu lao ,yaani aliwashangaa sana wale wanaolipuwa mambomu hayo pamoja na wingine ambao husema mpaka wanatoka mate kama mvua .lakini hatimae wanaunga mkono bajeti hiyo kwa nguvu sana , sijui watu hawa waeleweke vipi ? Au tuwaiteje ?
 
Dr. Wilbroad Slaa ndio kiongozi anayefaa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2010, sio hawa wapambe wa Chama Cha Majambazi kina Prof. Mark Mwandosya ambao hawatoleta mabadiliko yeyote zaidi ya kuendeleza Ujambazi na Ufisadi wa CCM.
 
Back
Top Bottom