Waziri aliyetemwa na JK achukua fomu kupambana na Sitta Uenyekiti Bunge la Katiba

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,501
Hadi sasa tayari watu wawili zaidi wamejitokeza kumvaa Samwel Sitta kuwania nafasi ya uenyekiti wa kudumu katika Bunge la Katiba hapa mjini Dodoma.

Aliyekuwa Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dr. Teresia Huvisa amechukua fomu kuwania uenyekiti sambamba na aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania mwaka 2010 kupitia NCCR Mageuzi Hashim Rungwe ambaye pia amechukua fomu hizo mchana huu.

Hawa ni wagombea watatu sasa ukimuongeza na Samwel Sitta. Bado fomu zinaendelea kutolewa hadi kesho asubuhi.
 
....hivi SAMWEL SITA tayari fomu kachukua!!!!!! au ni mgombea kupitia kwenye midomo ya watu.
 
sasa hapa ndio penyewe, nataka nione wale wanawake waliofanya fujo bungeni last week wakiimba kuwa wanataka haki zao sasa wampigie kura mwanamke mwenzao Dk. Huvisa kama sio wanafiki na kulilia haki huku wakijua hawana uwezo. Yangu macho kwenye uchaguzi kesho
 
Hao wanawake...we acha tu.
Utaona huyo mwenzao atapata
kura 3 tena toka kwa wanaume!!!!!!.
 
Wanawake muungeni mkono mwenzeni msisubiri vyeo vya upendeleo
 
Hivi kuna TV gani inaonyesha live bunge la katiba.
 
sasa hapa ndio penyewe, nataka nione wale wanawake waliofanya fujo bungeni last week wakiimba kuwa wanataka haki zao sasa wampigie kura mwanamke mwenzao Dk. Huvisa kama sio wanafiki na kulilia haki huku wakijua hawana uwezo. Yangu macho kwenye uchaguzi kesho

Nampongeza atleast ameweka sawa ule usemi tupeni nafasi tunaweza.Amepewa nafasi amechukua form,kama uwezo anao wanawake wanahaki ya kumpigia, lakini huwezi kumchagua tu mtu sababu ya jinsia yake hata kama uwezo hana.:whoo:
 
Wanahaki ya kuchukua fumu na kugombea lakini maoni yangu sitta yuko vizuri zaidi ndiye nitakayemchgua kwa upande wangu sijui wajumbe wenzangu mtazamo wao utakuwaje.
 
mkuu hata mwanamke anaweza ila si kwa hili bunge haliwez kabisa
 
Wanahaki ya kuchukua fumu na kugombea lakini maoni yangu sitta yuko vizuri zaidi ndiye nitakayemchgua kwa upande wangu sijui wajumbe wenzangu mtazamo wao utakuwaje.

Hivi na wewe ni mjumbe...lol kweli tunamhtaji mungu aingilie kati kama michango yako ndo itakuwa kama ya jamii forum no expectations
 
sasa hapa ndio penyewe, nataka nione wale wanawake waliofanya fujo bungeni last week wakiimba kuwa wanataka haki zao sasa wampigie kura mwanamke mwenzao Dk. Huvisa kama sio wanafiki na kulilia haki huku wakijua hawana uwezo. Yangu macho kwenye uchaguzi kesho

Ni MaCCM yenye akili zilizo kwenye chup*.
 
Wanahaki ya kuchukua fumu na kugombea lakini maoni yangu sitta yuko vizuri zaidi ndiye nitakayemchgua kwa upande wangu sijui wajumbe wenzangu mtazamo wao utakuwaje.
Hakika kutokana na mfumo uliopo hata Huyo Sitta mtamchukia tu
 
Wanawake muungeni mkono mwenzeni msisubiri vyeo vya upendeleo

Msipoteze muda kuwashauri wanawake hawapendani.Chukulia mfano mdogo tu wodi za wazazi wafanyakazi wengi ni wanawake lakini vituko wanavyowafanyia wananwake wenzao wanaohitaji huduma zao.Inatosha.
 
Hivi kuna TV gani inaonyesha live bunge la katiba.

Mimi nimekuelewa vizuri, ni TBC, ila linahairishwa mara kwa mara ndiyo maana kila ukiangalia TBC unakuta Taarab
 
Hiyo ndio demokrasia ya kweli,sio kuzuiana kugombea, kila mbunge ajipime kama anauwezo na vigezo akachukue fom
 
Back
Top Bottom