Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
sasa hapa ndio penyewe, nataka nione wale wanawake waliofanya fujo bungeni last week wakiimba kuwa wanataka haki zao sasa wampigie kura mwanamke mwenzao Dk. Huvisa kama sio wanafiki na kulilia haki huku wakijua hawana uwezo. Yangu macho kwenye uchaguzi kesho

Hivi kuna TV gani inaonyesha live bunge la katiba.
Mkuu ni tbc pekee kesho saa kumi uchaguzi wa mwenyekiti wa kudumu wa bunge maalumu la katiba.Hivi kuna TV gani inaonyesha live bunge la katiba.
Wanahaki ya kuchukua fumu na kugombea lakini maoni yangu sitta yuko vizuri zaidi ndiye nitakayemchgua kwa upande wangu sijui wajumbe wenzangu mtazamo wao utakuwaje.
Wanahaki ya kuchukua fumu na kugombea lakini maoni yangu sitta yuko vizuri zaidi ndiye nitakayemchgua kwa upande wangu sijui wajumbe wenzangu mtazamo wao utakuwaje.
sasa hapa ndio penyewe, nataka nione wale wanawake waliofanya fujo bungeni last week wakiimba kuwa wanataka haki zao sasa wampigie kura mwanamke mwenzao Dk. Huvisa kama sio wanafiki na kulilia haki huku wakijua hawana uwezo. Yangu macho kwenye uchaguzi kesho
Hakika kutokana na mfumo uliopo hata Huyo Sitta mtamchukia tuWanahaki ya kuchukua fumu na kugombea lakini maoni yangu sitta yuko vizuri zaidi ndiye nitakayemchgua kwa upande wangu sijui wajumbe wenzangu mtazamo wao utakuwaje.
Hivi kuna TV gani inaonyesha live bunge la katiba.
Hivi kuna TV gani inaonyesha live bunge la katiba.
Wanawake muungeni mkono mwenzeni msisubiri vyeo vya upendeleo