Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
- Thread starter
-
- #21
nakubaliana na wewe kuwa huwezi kumchagua tu mtu kwa sababu ya jinsia yake hata kama uwezo hana!bunge hili si la kulilia uenyekiti mwanamke watu ni full majanga!Nampongeza atleast ameweka sawa ule usemi tupeni nafasi tunaweza.Amepewa nafasi amechukua form,kama uwezo anao wanawake wanahaki ya kumpigia, lakini huwezi kumchagua tu mtu sababu ya jinsia yake hata kama uwezo hana.:whoo:
Akipata kura sawa na nusu ya wajumbe wote wanawake nitafute uchukue zawadi yako.huu ni mtihani kwa wajumbe wanawake kumchagua mama Thereza Huviza, sababu idadi ya wajumbe wanaume na wajumbe wanawake inakaribia kulingana.
Halafu kila siku yanalia eti usawa wa kijinsia!mhalisi usitegemee wanawake hata kumpigia kura mwanamke mwenzao. Ni wanafiki na wasiopendana daima
Akipata kura sawa na nusu ya wajumbe wote wanawake nitafute uchukue zawadi yako.
Hivi kuna TV gani inaonyesha live bunge la katiba.
nakubaliana na wewe kuwa huwezi kumchagua tu mtu kwa sababu ya jinsia yake hata kama uwezo hana!bunge hili si la kulilia uenyekiti mwanamke watu ni full majanga!
hawezikuwa sawa na mwanamme, ni amri ya MUNGU mwanamme atakutawalamhalisi usitegemee wanawake hata kumpigia kura mwanamke mwenzao. Ni wanafiki na wasiopendana daima
Kaka tatizo hatujaielewa Beijing,mpaka tukija kuielewa tumekosa opportunity nyingi sana.
Mkuu acha tu, nilisikitika sana huyo jamaa alivyosema na yeye ni mjumbe wa hilo Bunge.Hivi na wewe ni mjumbe...lol kweli tunamhtaji mungu aingilie kati kama michango yako ndo itakuwa kama ya jamii forum no expectations
haya mambo ya mwanamke kutawala/kuongoza. kibinadamu si kitu ila ki Mbingu, ni mambo makubwa sana yanahitaji kupingwa kwa guvu.