Waziri analeta bajeti inayomkamua mlalahoi huku amekunja ndita, zikiliwa hawajibiki wala hatimuliwi. Hili lifike mwisho

Basi usiandike kulalamika kodi lalamika ufisadi uliotukuka kwenye nchi yetu
Kwani huo ufisadi unafanyika kwa kutumia fedha gani kama sio hizi za kodi.Uwe unatumia akili kufikiri badala yakujifanya wewe ni mzalendo sana kuliko wengine wanaotoa mawazo yao jinsi ambavyo mambo hayajakaa sawa nchini.
 
Ni kweli Rais huwa halipi kodi?

Halipi direct Tax toka kwenye mshahara wake. Kodi zote anazololipa ni zile indirect. Ukisikia watu wanasema mtu halipi kodi, basi ujue ni ile direct na sio indirect maana indirect ni ngumu kuzikwepa.
 
Kwani huo ufisadi unafanyika kwa kutumia fedha gani kama sio hizi za kodi.Uwe unatumia akili kufikiri badala yakujifanya wewe ni mzalendo sana kuliko wengine wanaotoa mawazo yao jinsi ambavyo mambo hayajakaa sawa nchini.
Chama kingekua tofauti na ccm hata nikiambiwa nilipe kodi milioni moja kwa mwezi niko tayari hata kukokapa kwajili ya kulipa kodi lakini ccm hata nikiambiwa mia kwamwezi inaniauma sana najue inaenda kuliwa tu
 
Unapunguza kodi ya bia unaongeza bei ya petrol hii ni akili matope ?
Nimeshangaa sana eeti anandoa kodi kwenye vitu ambavyo sio lazima bia sio lazima sigara sio lazima mpira sio lazima ongeza kodo kwenye vitu ambavyo nivya lazima hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe
 
Nimeshangaa sana eeti anandoa kodi kwenye vitu ambavyo sio lazima bia sio lazima sigara sio lazima mpira sio lazima ongeza kodo kwenye vitu ambavyo nivya lazima hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe
waziri anajua akitoka hapo anaagiza creti la bia kuwapa ofa marafiki zake na atawaagizia pakiti za sigara kali ili wajilipue, na anajua kwamba, akiweka kodi hapo atakuwa anajikamua yeye na wapenda kilevi, lakini akiwakamua wakala hoi kwenye petrol anajua pia, wanamabasi yao ya kubeba abiria na hivyo atakula cha juu kutoka kwa mlala hoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…