Waziri ananitaka kimapenzi

Waziri ananitaka kimapenzi

Aiseee, unataka ushauri gani??
K' ni yako mwenyewe. Fanya maamuzi.
 
tracy wa njiro naona kakimbia,na wasi wasi sana unatokea mabwepande na siyo njiro!
 
kitendo cha kupewa gari ,hapo nimeshahesabia na manyoya tu na ujitayarishe kuishi kwa matumaini.
 
Waziri, yule kijana wa mtaani kwenu au. Kama ni waziri kweli mchune tuu halafu sepa, huwa watu kama hawa wasiojiheshimu inabidi tu uwatolee uvivu.[/QUOTE

siyo rahisi hivyo,utabembelezwa,utatishiwa usalama wa familia yako na maisha yako

kuna dogo st.Augustine kajengewa,gari na ngoma juu.take care
 
Mie nacheka tu,

Ndiyo raha ya kuzungukwa na wajukuu....Lazima uloweshwe kwa maji safi na maji taka!!

Babu DC!!

Haya ya leo babu maji taka, tena ya ahsubuh ahsubuh na jpili hii.

Itabidi uoge na detol chupa nzima.

Eti, kapendwa na waziri kamhonga gari, afu anataka ahame nchi.

Narudia. KAAAAZI KWELI KWELLI
 
Kwanini watangaza humu sasa. Nafikiri sio vyema ulivyofanya au pengine una agenda yako binafsi ambayo kwa njia moja au nyingine hautaki iwe wazi sana.
 
Hizo ni sifa za kipumbavu kuwa hata mawaziri wanakutokea.
Mbona sisi tukuwatokea hamtangazi humu?
Waziri ni kama ss wengine tu hana lolote jipya, kwa hiyo kama unataka mpe kama unavyotupa sisi wengine huku kitaa, sio uje na mbwembwe zako hapa
 
Pumbavu......! kama huna hoja ya msingi kaa kimya. issue zako za kutaka kugongwa zinatuhusu nn cc wana jf, thats yo private lyf, acha ushamba.
 
Kwani anakulazimisha, Umehogwa gari chukua, zali la mentali hilo (ungekubali ingesema?)
 
Waliokutongoza wote hujawasema umemwona waziri tu! Hongera kwa kutongozwa na waziri
 
Back
Top Bottom