Kazi kweli kweli. Sisi wadada sometimes!
Waziri sonyo?
Waziri sonyo?
duh! Sonyo ni waziri wa nini? Ten teh teh.
Waziri, yule kijana wa mtaani kwenu au. Kama ni waziri kweli mchune tuu halafu sepa, huwa watu kama hawa wasiojiheshimu inabidi tu uwatolee uvivu.[/QUOTE
siyo rahisi hivyo,utabembelezwa,utatishiwa usalama wa familia yako na maisha yako
kuna dogo st.Augustine kajengewa,gari na ngoma juu.take care
Mie nacheka tu,
Ndiyo raha ya kuzungukwa na wajukuu....Lazima uloweshwe kwa maji safi na maji taka!!
Babu DC!!