Waziri ananitaka kimapenzi

Watoto wa njiro hawana swagger kama hizo za kwako, we utakua tracy wa kambi ya fisi..
 
ww unapata fursa unachezea wenzako buguruni,shivas n.k wanaztafuta hizo chanc hawapat. tatzo hii umei2nga ningekushaur zaidi ingekuwa ni ya kweli
 
Uliona wapi mwanamke akatongozwa akasema katongozwa, unless awe anataka kutongozwa tu, yani unatuambia tukutongoze kiaina aian flani vile.
hivi kuna la ajabu mwanamke kutongozwa? hayo si ni maisha ya kila siku?
sasa kama kila siku ukitongozwa unakuja kumwaga hapa si thread zote hapa MMU zingekuwa za kutongozwa? au sababu mtongozaji ni waziri? kwani yeye si mwanaume kama wengine? after all leo waziri, kesho na kadhalika, what is a big deal? huu ni ulimbukeni
 
kwani ushaliwa na wangapi huyo waziri sonyo umkatae?mpe mambo
 
kama humpendi kwa nini umepokea gari yake?
mrudishei mkewe hio gari
 
Eti nataka nkimbie nchi, bull shit ndo suluhsho?Hawa wanawke du,uckute mpz wng ww!Mmmh,nkigundue.......
 
Uliona wapi mwanamke akatongozwa akasema katongozwa, unless awe anataka kutongozwa tu, yani unatuambia tukutongoze kiaina aian flani vile.

Ameota katongozwa na waziri na kuhongwa gari!
 
Msameheni bure, anatamani sana kuwa na gari na kuwa na mpenzi mwenye wadhifa. Hallucinations zinamsumbua.
 
kuwekana roho juu,na kuunguzana maini tu

wake wa mawaziri wanapitapita JF jamani
 
Kama uko Njiro itakuwa ni Six tu, hakuna mwingine huko. Labda Waziri wa njenje? angalia Nyota asikusikie.
 
itakuwa wazi Sonyo huyo ndiyo tabia zake.:A S 465:
 
Waziri wa chuo gani hicho mhh mpaka anafikiria kukuonga gari.Basi ujue anataka kule palipokatazwa usikute kaisha sikia habari zako tayari
 
Waziri, yule kijana wa mtaani kwenu au. Kama ni waziri kweli mchune tuu halafu sepa, huwa watu kama hawa wasiojiheshimu inabidi tu uwatolee uvivu.

sio amchune, bal wachunane waziri gan atakayekubal kuhonga gar then aingizwe mitin kwan amekua bint yake ampe gari la burebure kama zawadi ya birthday, its means atoe gari then achakachue...
 
Sijaelewa. Sijaelewa tatizo ni nini? Au ni kwa sababu yeye ni waziri ndio maana umeona ajabu. Binafsi sijaelewa wala sijaona logic ya kupost hy mada. Labda mada ingekuwa kuna Padre ananitongoza, ndio tungeona kuna cha ajabu.
 
Chuna uchunavyo achia uachavyo ila kaukimwi kapo.
 
Fixed point hapo point umezifixed sawa kabisa, yani hawezi kukosoa hata point moja hapo.






Ameota katongozwa na waziri na kuhongwa gari!
Utani pembeni hata mimi nadhani ndo vile, tena ndoto ya mchana bada ya kupiga ugali wa sembe na nshenene za mawese.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…