Waziri Ashatu Kijaji hiyo 'Doctorate' yako ni ya Ubobezi wa Uwongo au Kuchanganya?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Royal Tour ya Rais Samia imesababisha Hoteli zote Kubwa Dar es Salaam, Kilimayna Arusha kujaa kwa miezi Mitatu ijayo" Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji.

Halafu GENTAMYCINE nawaulizeni nyie Viongozi wa Serikali hivi mnavyokuwa mnatudanganya kiasi hiki huwa mnadhani kuwa labda katika hizo (hizi) Sekta / Taasisi hatuna ama Marafiki au Ndugu ambao hutueleza halisi on the ground kiasi kwamba kila mara mtuone Watanzania wote ni Mazuzu na Wanastahili tu Kudanganywa?

Shame on your Honourable Minister!!!!
 
Mm najiuliza Sana mbona hayamambo ya kusifia hata visivyosifika hatukuyaona enz za mwiny mkapa na jk

Toka awamu ya tano iingie madarakan tukaanza kusikia kusifia

Mfano unafuta ajira za walimu halafu unatoa kibal Cha kuajir walimu 1000 wajinga fulan wanakuja kusifia wakat kafuta ajira 20000

Na mashaka na wasom wa Tanzani


Prof kabudi mbele ya halaiki alimwita Rais MUNGU dah so sad wasomi wa nchi hii

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Dr mmoja wa OUT alisema utafiti wake umebaini wanawake wanaovaa suruali wako flat makalioni na wamejaa vifua na vitambi
 
Kusifia sifia na uongo ndio sifa kuu za ccm, zipo hadi kwenye ilani. Kwahiyo anatekeleza ilani ya chama.
 
Mr Twaha Bigirimana naona umekuja kivingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…