Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Utakuwa muchepuko umekuya kusifiaWaziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.
View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.
Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.
Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.
Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
AWEZO NI TAPELI NA MWIZI MKUBWA. WIZARA HAIJAWAHI KUPATA WAZIR WA OVYO KM HUYU TANGU UHURU. NI VL WATZ NI WAVIVU WA KUFIKIRI WANAOENDESHWA KWA MEDIA UVHWARAKwani suti ni kitu gani? Kuna watu wana akili za ajabu
IndeedDrama time
Ulitaka apande na suti ya naniWaziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.
View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.
Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.
Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.
Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
cha ajabu ni kwamba amezingatia sheria na kanuni za OSHA? anapandaje huko juu hana hata kofia zile za site? Kavunja sheria au hajavunja?Nini cha ajabu hapo?
Osha wenyewe wanafuata sheria?cha ajabu ni kwamba amezingatia sheria na kanuni za OSHA? anapandaje huko juu hana hata kofia zile za site? Kavunja sheria au hajavunja?
Anapeleka fedha kwenye RUWASA anaclaim back 50M+AWEZO NI TAPELI NA MWIZI MKUBWA. WIZARA HAIJAWAHI KUPATA WAZIR WA OVYO KM HUYU TANGU UHURU. NI VL WATZ NI WAVIVU WA KUFIKIRI WANAOENDESHWA KWA MEDIA UVHWARA