PreGE2025 Waziri Aweso apanda na Suti yake kwenye Tenki kukagua mradi wa Maji Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.

View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.

Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.

Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.

Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
Aweso yuko vzr sana ila huyo Mavunde watu wa Ntyuka Dodoma msimpe kuraa barabara inatengenezwa miaka mitano hakuna lolote analowasaidia, msimpe kura mtoseni kabisaaa
 
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.

View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.

Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.

Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.

Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
Kazi nzuri sana
 
Waziri wa Maji Jumaa Aweso
View attachment 3306560
. hana mkanda wa usalama (safety harness)
. hana kofia ngumu (helmet)
. hana gloves
. hizo moka sidhan kama zinafaa kutumika hapo (safety shoes)

Wahusika kwanini hamzingatii usalama kazini?, Pamoja na NIA yake NJEMA lakini USALAMA ni kitu cha lazima, Ni aibu hata kusambaza picha ya aina hii, ilipaswa aoneshe mfano, sorry to say Osha
 
AWEZO NI TAPELI NA MWIZI MKUBWA. WIZARA HAIJAWAHI KUPATA WAZIR WA OVYO KM HUYU TANGU UHURU. NI VL WATZ NI WAVIVU WA KUFIKIRI WANAOENDESHWA KWA MEDIA UVHWARA
N A K A Z I A
 
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.

View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.

Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.

Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.

Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
Kule Kenya hio ni kazi ya viongozi ngazi ya Kata, hizi ni PR kununua attention kutoka kwa wajinga wa hili taifa
 
Nakubaliana na wanaosema Tanzania ni nchi rahisi sana kuiongoza.
N A K A Z I A
BONGO TAMBARARE Sana Wajinga Wajinga Ni Wengi. Wengine Hawa Hapa Chini
IMG-20250417-WA0000.jpg
 
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.

View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.

Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.

Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.

Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.

So what?
 
Amehatarisha maisha yake hapo mnamsifia Waziri anakosa gear za ufundi kama boot na helmet ili akienda site avitumie kwani Miradi ya wao kupitia si ipo mingi sana.
 
Anavaa mzungu, na unajua mavi ya mzungu hayanuki?
Nilivyokuwa mdogo nilikuwa natamani kuyaona mavi ya wazungu, nilijua wanakunya kashataa ila jaman utoto rahaa, nilikuwa nikimuona zeruzeru natema mate kifuani maana angu asizae zeruzeru hahhaha, watoto wa uswazi tuu ndio tumefaidi utoto wetu sio watoto wa kishua
 
Back
Top Bottom