Aweso yuko vzr sana ila huyo Mavunde watu wa Ntyuka Dodoma msimpe kuraa barabara inatengenezwa miaka mitano hakuna lolote analowasaidia, msimpe kura mtoseni kabisaaaWaziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.
View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.
Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.
Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.
Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
Anavaa mzungu, na unajua mavi ya mzungu hayanuki?Kwani suti ni kitu gani? Kuna watu wana akili za ajabu
Kazi nzuri sanaWaziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.
View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.
Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.
Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.
Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
. hana mkanda wa usalama (safety harness)Waziri wa Maji Jumaa Aweso
View attachment 3306560
Rubbish mindsetAnavaa mzungu, na unajua mavi ya mzungu hayanuki?
N A K A Z I AAWEZO NI TAPELI NA MWIZI MKUBWA. WIZARA HAIJAWAHI KUPATA WAZIR WA OVYO KM HUYU TANGU UHURU. NI VL WATZ NI WAVIVU WA KUFIKIRI WANAOENDESHWA KWA MEDIA UVHWARA
Kule Kenya hio ni kazi ya viongozi ngazi ya Kata, hizi ni PR kununua attention kutoka kwa wajinga wa hili taifaWaziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.
View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.
Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.
Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.
Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
N A K A Z I ANakubaliana na wanaosema Tanzania ni nchi rahisi sana kuiongoza.
nini msingi wa swal lako Netapussy? wanafuata sheria za nchi yaan katiba au sheriagan be specific?Osha wenyewe wanafuata sheria?
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.
View attachment 3306559
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.
Aweso ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingiria Dodoma (DUWASA) Mhandisi Aron Joseph kukamilisha mradi wa Nala katika kipindi cha Wiki mbili na kuhakikisha wananchi wanaanza kutumia Maji hayo.
View attachment 3306560
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 3.83 na kukamilika kwa asilimia 100 ili kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa haraka.
Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu kutanufaisha wakazi wapatao 5,188 wa Nala Centre, Segu Juu na Chihoni ndani ya Kata ya Nala pamoja na kiwanda cha mbolea cha Nala - Itracom.
Kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mradi huu kutaongeza upatikanaji wa maji kwa wakazi wapatao 8,647.
Lazima uwe msafi haswanini msingi wa swal lako Netapussy? wanafuata sheria za nchi yaan katiba au sheriagan be specific?
Nilivyokuwa mdogo nilikuwa natamani kuyaona mavi ya wazungu, nilijua wanakunya kashataa ila jaman utoto rahaa, nilikuwa nikimuona zeruzeru natema mate kifuani maana angu asizae zeruzeru hahhaha, watoto wa uswazi tuu ndio tumefaidi utoto wetu sio watoto wa kishuaAnavaa mzungu, na unajua mavi ya mzungu hayanuki?