Waziri Aweso ashiriki Maulid ya Mtume Korogwe, nakusoma kitabu cha Maulid, Mlango wa Nne

Waziri Aweso ashiriki Maulid ya Mtume Korogwe, nakusoma kitabu cha Maulid, Mlango wa Nne

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani, Jumaa Aweso, ameungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika hafla ya Maulid ya Mtume iliyofanyika kijijini Kwa Mndolwa, wilayani Korogwe, mkoani Tanga.

Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Sheik Mkuu na Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ambaye aliongoza waumini katika maombi na ujumbe wa amani. Katika tukio hilo, Aweso alisoma kitabu cha Maulid, Mlango wa Nne, akionesha mshikamano kati ya viongozi wa serikali na waumini wa dini mbalimbali.
 
Maigizo tu,mcha Mungu wa kweli anayemuogopa Mola wake hawezi kufungamana na majitu yenye roho mbaya.
 
Hii inasaidia katika kukuza uchumi wa nchi?
 
Back
Top Bottom