Waziri Aweso, Chato bado kuna shida kubwa ya maji. Huu mradi uliosema umekamilika haujaleta msaada wowote

Waziri Aweso, Chato bado kuna shida kubwa ya maji. Huu mradi uliosema umekamilika haujaleta msaada wowote

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Mradi mkubwa wa maji kutoka Buzirayombo na matangi yamejengwa Itare ambayo baada ya kukamilika ulituaminisha utamaliza kero ya maji kwa wila ya Chato na baadhi ya maeneo ya Biharamulo.

Ukweli ni kwamba kuna kero kubwa sana ya maji hapa Chato. Maji yanatoma kwa mgao na kukatikatika hovyo.

Juma Awesso kwa nini umetudanganya raia wa Chato?
 
Uliona wapi ahadi ya wanasiasa ikawa instant kama noodles?
 
Back
Top Bottom