Mradi mkubwa wa maji kutoka Buzirayombo na matangi yamejengwa Itare ambayo baada ya kukamilika ulituaminisha utamaliza kero ya maji kwa wila ya Chato na baadhi ya maeneo ya Biharamulo.
Ukweli ni kwamba kuna kero kubwa sana ya maji hapa Chato. Maji yanatoma kwa mgao na kukatikatika hovyo.
Juma Awesso kwa nini umetudanganya raia wa Chato?