JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Hii ni hakika. Tunetoka kwenye mvua kubwa, mifereji ya Jiji la Dar na vijito bado vinatirisha maji. Wananchi wachota hayo maji kwa matumizi Yao ya kila siku.
Bila haya maji, Jiji la Dar liko kwenye hatari ya kindupindu.
Aweso changamka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Waziri wa afya pia changamka kabla hujaanza kuhudumia kipindupindu.
Ni hayo tu.
Pia soma
www.jamiiforums.com
Bila haya maji, Jiji la Dar liko kwenye hatari ya kindupindu.
Aweso changamka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Waziri wa afya pia changamka kabla hujaanza kuhudumia kipindupindu.
Ni hayo tu.
Pia soma
- KERO - Kinyerezi kuna shida kubwa ya maji, group la DAWASA WhatsApp halifanyi chochote kutatua kero hii
- Waziri wa Maji ingilia kati DAWASA hali ya maji Dar ni mbaya sana
- KERO - Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji kutokana na kasi ndogo ya maji. DAWASA wafafanua
Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini
AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae pembeni kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban...