KERO Waziri Aweso, Jiji la Dar Sasa wanakunywa na kuoga maji ya kwenye mifereji. DAWASA pakavu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Raia warudi mikoani kwao
 
Tangia CEO Ruhemeja ahamishwe Dawasa imefeli kabisa.Dawasa lilikuwa tumain la watanzania lakini sasa wrote wamekuwa wa ovyo.Samia kwanini Kila idara imepalalyse
 
Hii nchi inahitaji Magufuli mwingine Tena.
Ila JPM kama angeacha udikteta uchwara na uonevu usio na tija, angeweza kuleta impact kubwa sana kwa maendeleo ya nchi. Tatizo naye chuki, roho mbaya, ubinafsi na uonevu vilizidi kipimo. Hata pasipokuwa na ulazima wa kufayanya hayo bado aliyafanya tu, Mungu amsamehe sana huko aliko.
 
Hakuna cha udikiteta, ulikuwa unaudefine wewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…