PreGE2025 Waziri Aweso: Nampongeza Naibu wangu wa maji Andrew Kundo na mfananisha kama Mpanzu wa Simba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa maji Mhe Jumaa Aweso amesema Rais Samia amefanya kazi kubwa sana katika Sekta ya Maji kwa wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu na Tanzania kwa ujumla wake hadi kufikia hatua ya kutambulika kimataifa.

Aidha Waziri Aweso amempongeza Mbunge wa Bariadi na Naibu Waziri Waziri wa Maji Mhe Andrew Kundo kwa kazi nzuri katika sekta ya Maji na kumfananisha kama mchezaji wa Simba Mpanzu jambo lililoibua shangwe kwa wananchi wa Simiyu waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.

Habari hii ina umuhimu gani kwa ma Great thinkers kama sisi au kwa TAIFA kwa ujumla hayo si maneno Tu ya kawaida mtu kuyatoa hasa wanasiasa...

Anyway ila wizara ya maji kweli tumejitahidi kuleta mageuzi..lazima nisifie wizara yangu kazi zetu na boss wangu
 
Mipira umekua wa kipumbavu sana wanashoboka na mpira kwa sasa ni wajinga wajinga tu
 
Waziri wa maji Mhe Jumaa Aweso amesema Rais Samia amefanya kazi kubwa sana katika Sekta ya Maji kwa wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu na Tanzania kwa ujumla wake hadi kufikia hatua ya kutambulika kimataifa.

Aidha Waziri Aweso amempongeza Mbunge wa Bariadi na Naibu Waziri Waziri wa Maji Mhe Andrew Kundo kwa kazi nzuri katika sekta ya Maji na kumfananisha kama mchezaji wa Simba Mpanzu jambo lililoibua shangwe kwa wananchi wa Simiyu waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kuna watu wa hovyo mtu anakuwa Naibu Waziri hata hajulikani
 
Back
Top Bottom