Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Maji ya bahari mkuu wakati maji yamejaa kwenye maziwa yanayotuzunguka yote ni swala la kufunga mabomba na pump tu..Huyu anasifiwaga ila sijawahi ona ana jipya gani. Kwani anashindwa kubuni mradi wa ku desalinate maji ya bahari!! Yaani tunazidiwa na nchi zenye majangwa huko uarabuni.
Huyu anasifiwaga ila sijawahi ona ana jipya gani. Kwani anashindwa kubuni mradi wa ku desalinate maji ya bahari!! Yaani tunazidiwa na nchi zenye majangwa huko uarabuni.