Waziri Bashe aache kuingilia majukumu ya wizara nyingine

Hapa ndio nawakubali wamatumbi nyie ni kufahamu zaidi kwanini nyinyi ni maskini, ushashiba maharage hapa unabandle lako la kuunga uunga ukaamua nawe utoe mchango wako wa kujenga taifa hili lenye watu wengi msiojitambua. Mie mwenzio nilidhani ungeona haja ya watu kukusanya nguvu wizara zote na kukamilisha huu mradi kwanza utaongeza uzalishaji, pili vijana watapata fursa ya kutumia vipaji na nguvu zao na mwishi watatengeneza ajira zao na wenzao.
Sie wahafidhini tuliona taabu na siasa ya kupata hao vijana manake huku mtaani tunaona wajumbe wa CCM wanataka kutupeleka kule kule kwa zile pesa za 10% na miradi mingine iliyowekwa siasa ikafeli. Wazo lako sio baya ila likague tena uone kama bado lina tija au lifute tufanye mambo.
 
"Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa mpaka kukusanya fedha za wale wa plea bargain, fedha za plea bargain nyingine zimeonekana na nyingine hazijaonekana, uki-trace utaambiwa kuna akaunti China, tukatazame haya yote" Rais Samia https://t.co/4dQDALqXas

Bashe , Mr. Kuku mrudishieni Bilioni 17 zake ambazo tuliwekeza huko , maana mlimuachia milioni 1 tu kwenye akaunti

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…