Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa kampuni ya Pioneers Chemical Factory Co. Kutoka Nchini Saudi Arabia, wenye lengo la kuwekeza Katika uzalishaji na usambazaji wa mbolea Nchini.
Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Wizara ya Kilimo jijini Dodoma leo Tarehe 2 Februari, 2022
Aidha, ujumbe wa wawekezaji hao kutoka Saudia Arabia umeongozwa na Balozi wa Tanzania Nchini humo Mhe. Balozi Ali Jabir Mwadini.