Na ndio sababu nimeguswa na huyu ambaye ameonesha kutambua kuwa tatizo sio pembejeo tu; Tatizo kubwa ni pembejeo sahihiPembejeo za kilimo ni bomu linalowaangamiza wakulima.
Nchi hii kila tamko likitoka basi kuna watu wenyewe watakuja kusifia tu.
Sisi Watanzania ni viumbe wa hovyo sana.
Nilimsikiliza Waziri Bashe sijui ilikuwa ni ufunguzi wa kiwanda cha mbolea
pamoja na mambo mengi, kwenye hotuba yake alisema; Wataalam wa ofisi ya kilimo wakae na muekezaji wamuelekeze mahitahi ya mbolea inayoendana na udongo wa maeneo tarajiwa (target market) ili azalishe mbolea inayohitajiwa sokoni na kusiwe na visingizio baadae kuwa mbolea haina ubora unaostahili
atapaje faida akitengeneza bidhaa isiyohitajika sokoni?Politics! Mere words, implementation? He he he! Mfanya biashara anaangalia Faida, sio aina Za udongo, labda Kama kuna government subsidies, Tanzania? He he he!