PreGE2025 Waziri Bashe amuomba Spika Tulia akagombee ubunge jimbo la Uyole na si Mbeya Mjini

PreGE2025 Waziri Bashe amuomba Spika Tulia akagombee ubunge jimbo la Uyole na si Mbeya Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu

Watu wa uyole wamefikiwa sasa, Stuxnet upo wapi, Spika Tulia Akson Mwansasu atakubali kuliachia jimbo la Mbeya mjini uchaguzi wa mwaka huu akagombee Uyole?

Waziri wa kilimo Hussein Bashe leo Mei 21, 2025, katika mkutano wa 19 wa Bunge la 12, jijini Dodoma, akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 amemuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini ambalo analishikilia mpaka sasa.

 
Na hili lina tija kutumia rasilimali muda (ambayo analipwa na Kodi za Mbangaizaji) au angefanya hivyo kwa kutumia muda wao binafsi
 
Uchaguzi gani huo unaongelea hapo acheni kutumia neno uchaguzi vibaya
 
Back
Top Bottom