Waziri Bashe, lijulishe Taifa mchakato uliotumika kuwapata vijana 812 wanaokwenda kwenye mafunzo ya kilimo yatakayozinduliwa na Rais Samia

Waziri Bashe, lijulishe Taifa mchakato uliotumika kuwapata vijana 812 wanaokwenda kwenye mafunzo ya kilimo yatakayozinduliwa na Rais Samia

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n wangapi wameachwa na. Sababu za kuwaacha walio achwa ni zipi?

Msingi wa swali langu ni huu, Taifa Ili ni letu site sio tu vijana waliopo ndani ya chama cha mapinduzi ndo wenye Taifa la hasha, kutoka a na ilo tunaitaji kujua kinyume chake madudu yanayofanywa na serikali kutoa 10% ya vijana kwa vijana wa ccm tu SI jambo jema tuna wasi wasi wewe pia kupitia wizara yako unaweza rudia madudu hayo.

Mimi sikuomba mafunzo hayo ila niliwasaidia vijana wengi zaidi ya kumi walioko kijijini kwetu kuwaombea na tulipo kuwa tukituma maombi unaanbiwa maombi YAMEIFDHIWA na hakuna kilichoendelea zaidi ya hapo Leo tunapata taarifa ya kuwa vijana 812 watashiriki mafunzo vijana hao ni wapi?je tukija kwenye kanzu data ya wizara hao vijana waliomba kweli?

Nawasih Takukuru kachunguzeni ilo nalo!mtakuka kunishukuru hapo yamewekwa matoto ya vigogo na mavijana yaliyofeli shule ila yanajificha kwenye kichaka cha UVCCM Ili yasijulikane yakuuwa ni mataila.

Ukitaka kujua kama ni mataila angalia yanapewa mikopo 10% ya vijana na hayarudishi yanalia Bata.
 
charity always begins at home, sina Mengi ya kuongeza kwa wanaounga juhudi jitihada za mama wamepewa kipaombele wakatafsiri jitihada kwa vitendo, tobiko CCM tobiko.
 
Mimi sikuomba mafunzo hayo ila niliwasaidia vijana wengi zaidi ya kumi walioko kijijini kwetu kuwaombea na tulipo kuwa tukituma maombi unaanbiwa maombi YAMEIFDHIWA na hakuna kilichoendelea zaidi ya hapo Leo tunapata taarifa ya kuwa vijana 812 watashiriki mafunzo vijana hao ni wapi?je tukija kwenye kanzu data ya wizara hao vijana waliomba kweli?
Usishangae kuona % kubwa ni vijana watanashati wa mjini hawana hata tuta la mita moja la mchicha
 
Hili jambo linaupendeleo ndani yake,mawazo yangu ni kua kuna vijana wa wenyewe walikua walishaandaliwa tayari hizo applications nyingine ilikua ni Zuga tu.
Sema hata hivyo hili program halitaleta faida yoyote
 
Huyu baada ya kuliingiza Taifa kwenye crisis ya mfumuko wa bei ya chakula hakupaswa kuendelea kuwa katika nafasi hiyo.

Kwakua hatuna utaratibu wa kuwajibika au kuwajibishana ataendelea kutuumiza tu kwa maboko yake anayoyatoa.
 
hii issue ilikua ni bahati tu no vigezo no connection no u ccm walio pata wana bahati tu
 
Inchi haiwezi kuendelea kwa upendeleo.
Walitakiwa vijana wenye sifa na si wengine bali wale wanaojishuhulisha na kilimo kwa ushahidi. Hasa wale vijana wa vijijini
Na wale wanaojihusisha na ujasiriamali wa kilimo cha mbogamboga maeneo ya mjini na pembezoni mwa mji..........huenda ni kamba ambayo wajanja wanapimiana kiaina, muda utaongea..
 
Back
Top Bottom