Waziri Bashe, lijulishe Taifa mchakato uliotumika kuwapata vijana 812 wanaokwenda kwenye mafunzo ya kilimo yatakayozinduliwa na Rais Samia

Majitu mengi ya mjini yakishapata mafunzo yanarudi kwenye betting zone. Habari inskuwa imeisha
 
Hili jambo linaupendeleo ndani yake,mawazo yangu ni kua kuna vijana wa wenyewe walikua walishaandaliwa tayari hizo applications nyingine ilikua ni Zuga tu.
Sema hata hivyo hili program halitaleta faida yoyote
ha ha ha..umeandika kwa hisia mkuu
 
Siwezi Sema zaidi ila kwa hili mleta Mada umemuonea Bure waziri wa kilimo sioni kama CCM imehusika hapo kwani Nina zaidi ya mdogo 10 ninaowajua nje ndani na wengine wazazi wao ni makaa wa chadema wamepata, ombi langu fuatilia kama uliomba kwa kufuata taratibu zote hadi barua zako kupitishwa kwa mkurugenzi usije kuwa uliishia tu Kujaza lile liform mtandao ukaona umemaliza
 
Hili jambo halina tofaiti na ile mikopo ya halmashauri, urasimu mwingi sana hatimae malengo hayafikiwi.
 
Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n wangapi wameachwa na. Sababu za kuwaacha walio achwa ni zipi?

Msingi wa swali langu ni huu, Taifa Ili ni letu site sio tu vijana waliopo ndani ya chama cha mapinduzi ndo wenye Taifa la hasha, kutoka a na ilo tunaitaji kujua kinyume chake madudu yanayofanywa na serikali kutoa 10% ya vijana kwa vijana wa ccm tu SI jambo jema tuna wasi wasi wewe pia kupitia wizara yako unaweza rudia madudu hayo.

Mimi sikuomba mafunzo hayo ila niliwasaidia vijana wengi zaidi ya kumi walioko kijijini kwetu kuwaombea na tulipo kuwa tukituma maombi unaanbiwa maombi YAMEIFDHIWA na hakuna kilichoendelea zaidi ya hapo Leo tunapata taarifa ya kuwa vijana 812 watashiriki mafunzo vijana hao ni wapi?je tukija kwenye kanzu data ya wizara hao vijana waliomba kweli?

Nawasih Takukuru kachunguzeni ilo nalo!mtakuka kunishukuru hapo yamewekwa matoto ya vigogo na mavijana yaliyofeli shule ila yanajificha kwenye kichaka cha UVCCM Ili yasijulikane yakuuwa ni mataila.

Ukitaka kujua kama ni mataila angalia yanapewa mikopo 10% ya vijana na hayarudishi yanalia Bata.

CCM na UVCCM ni First Class Citizens Mkuu
 
Usishangae kuona % kubwa ni vijana watanashati wa mjini hawana hata tuta la mita moja la mchicha

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Usishangae kuona % kubwa ni vijana watanashati wa mjini hawana hata tuta la mita moja la mchicha
Hilo siyo tatizo, shida kubwa hawana nia ya dhati kufanya kilimo wataishia kufuja pesa na sababu ni CCM wenzao hiyo scandal itakufa kimya kimya. Kichaa atakayekuja baada huyu Mama naomba awe na roho mbaya kuliko Magu ilituwakute hawa watu kwenye viroba. Ifike mahali mafisadi watolewe uhai tu.
 
Wanakujaga na program kibao za kilimo mwisho wa siku zinaishia pa hovyo sana. Toka miaka 80 kuna program kila uchao bongo hii.
 
Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n wangapi wameachwa na. Sababu za kuwaacha walio achwa ni zipi?

Msingi wa swali langu ni huu, Taifa Ili ni letu site sio tu vijana waliopo ndani ya chama cha mapinduzi ndo wenye Taifa la hasha, kutoka a na ilo tunaitaji kujua kinyume chake madudu yanayofanywa na serikali kutoa 10% ya vijana kwa vijana wa ccm tu SI jambo jema tuna wasi wasi wewe pia kupitia wizara yako unaweza rudia madudu hayo.

Mimi sikuomba mafunzo hayo ila niliwasaidia vijana wengi zaidi ya kumi walioko kijijini kwetu kuwaombea na tulipo kuwa tukituma maombi unaanbiwa maombi YAMEIFDHIWA na hakuna kilichoendelea zaidi ya hapo Leo tunapata taarifa ya kuwa vijana 812 watashiriki mafunzo vijana hao ni wapi?je tukija kwenye kanzu data ya wizara hao vijana waliomba kweli?

Nawasih Takukuru kachunguzeni ilo nalo!mtakuka kunishukuru hapo yamewekwa matoto ya vigogo na mavijana yaliyofeli shule ila yanajificha kwenye kichaka cha UVCCM Ili yasijulikane yakuuwa ni mataila.

Ukitaka kujua kama ni mataila angalia yanapewa mikopo 10% ya vijana na hayarudishi yanalia Bata.
Ni kweli,hii issue inahitaji maelezo ya kina.Bashe hii nchi ni yetu sote,sio ya CCM tu,tiririka kijana.
 
Hili jambo linaupendeleo ndani yake,mawazo yangu ni kua kuna vijana wa wenyewe walikua walishaandaliwa tayari hizo applications nyingine ilikua ni Zuga tu.
Sema hata hivyo hili program halitaleta faida yoyote
ila wahuni wametengeneza hela nyingi man!! Afdb wametoa dola 200 milion kama sija
 
Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n wangapi wameachwa na. Sababu za kuwaacha walio achwa ni zipi?

Msingi wa swali langu ni huu, Taifa Ili ni letu site sio tu vijana waliopo ndani ya chama cha mapinduzi ndo wenye Taifa la hasha, kutoka a na ilo tunaitaji kujua kinyume chake madudu yanayofanywa na serikali kutoa 10% ya vijana kwa vijana wa ccm tu SI jambo jema tuna wasi wasi wewe pia kupitia wizara yako unaweza rudia madudu hayo.

Mimi sikuomba mafunzo hayo ila niliwasaidia vijana wengi zaidi ya kumi walioko kijijini kwetu kuwaombea na tulipo kuwa tukituma maombi unaanbiwa maombi YAMEIFDHIWA na hakuna kilichoendelea zaidi ya hapo Leo tunapata taarifa ya kuwa vijana 812 watashiriki mafunzo vijana hao ni wapi?je tukija kwenye kanzu data ya wizara hao vijana waliomba kweli?

Nawasih Takukuru kachunguzeni ilo nalo!mtakuka kunishukuru hapo yamewekwa matoto ya vigogo na mavijana yaliyofeli shule ila yanajificha kwenye kichaka cha UVCCM Ili yasijulikane yakuuwa ni mataila.

Ukitaka kujua kama ni mataila angalia yanapewa mikopo 10% ya vijana na hayarudishi yanalia Bata.
Mkuu 'sifileo', nimekusoma vyema.

Ila naomba unisaidie jambo moja. Hii taarifa ya vijana 812 inapatikana wapi?
Naomba tuanzie hapo na kwenda mbele.

Nchi hii sasa inafanywa kuwa ya matabaka maalum. Na inavyoonekana serikali hii iliyopo sasa itatuacha kwenye hali mbovu zaidi kuliko wakati mwingie wowote; pamoja na kwamba viongozi wake ni mashuhuri sana katika kutumia lugha tamu tamu.
 
Utawala wa sasa ni wa siafu kama wewe si siafu na uhakika hutokaa upate nafasi yoyote katika utawala huu.
 
Huyu baada ya kuliingiza Taifa kwenye crisis ya mfumuko wa bei ya chakula hakupaswa kuendelea kuwa katika nafasi hiyo.

Kwakua hatuna utaratibu wa kuwajibika au kuwajibishana ataendelea kutuumiza tu kwa maboko yake anayoyatoa.
Mkuu 'Stroke', mimi hupenda sana kukusikiliza/kukusoma humu, hata kama maandishi yako ni mafupi mara nyingi, lakini yanaeleza pasi shaka unaposimamia kuhusu nchi yetu.

Sasa ngoja nikustue, kama ulikuwa bado hujastuka kuhusu nchi yetu inakoelekezwa na hii CCM ya Samia.
Ni hivi: fumba na fungua macho, utakuta mabadiliko makubwa sana yametokea chini ya kazi za Samia anazofanya sasa hivi kimya kimya.
Mfano mmoja ni huu wa kugawa ardhi ya waTanzania kwa watu maalum wanaojulikana kwa wao viongozi. Lifikirie hili kwa makini uataona tunakoelekea tukiswagwa tu kama ng'ombe.
Hakuna anayehangaika kueleza lolote, na hakuna wa kuuliza chochote! Ni mipango inayobuniwa tu harakaharaka na wenye maslahi yao, na kuitekeleza bila ya mjadala.

Samia anaididimiza Tanzania kimya kimya.
 
Kwanini unafikiri "napiga kelele"? ??

Naelewa sana tu mkuu wangu.
 
Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n wangapi wameachwa na. Sababu za kuwaacha walio achwa ni zipi?

Msingi wa swali langu ni huu, Taifa Ili ni letu site sio tu vijana waliopo ndani ya chama cha mapinduzi ndo wenye Taifa la hasha, kutoka a na ilo tunaitaji kujua kinyume chake madudu yanayofanywa na serikali kutoa 10% ya vijana kwa vijana wa ccm tu SI jambo jema tuna wasi wasi wewe pia kupitia wizara yako unaweza rudia madudu hayo.

Mimi sikuomba mafunzo hayo ila niliwasaidia vijana wengi zaidi ya kumi walioko kijijini kwetu kuwaombea na tulipo kuwa tukituma maombi unaanbiwa maombi YAMEIFDHIWA na hakuna kilichoendelea zaidi ya hapo Leo tunapata taarifa ya kuwa vijana 812 watashiriki mafunzo vijana hao ni wapi?je tukija kwenye kanzu data ya wizara hao vijana waliomba kweli?

Nawasih Takukuru kachunguzeni ilo nalo!mtakuka kunishukuru hapo yamewekwa matoto ya vigogo na mavijana yaliyofeli shule ila yanajificha kwenye kichaka cha UVCCM Ili yasijulikane yakuuwa ni mataila.

Ukitaka kujua kama ni mataila angalia yanapewa mikopo 10% ya vijana na hayarudishi yanalia Bata.
Inaumiza KICHWA ww,

Ni UVCVCM baas, uwe na KADI au uchukue KADI ya KIJANI.
 
Kwanini unafikiri "napiga kelele"? ??

Naelewa sana tu mkuu wangu.
Sawa.

Tusiokuwepo huko CCM, tunajiuliza, huko ndani ya chama hakuna hata ukoko kidogo ulioachwa na Waasisi wa chama hicho ukajaribu kuinusuru nchi isiangamie?

Tulio nje na kuumizwa na mwenendo wa chama hiki, inatulazimu tuwahimize hata tusiowajuwa watatupeleka wapi, ili mradi waiondoe CCM. Potelea mbali!
 
Sina mengi ya kuuliza ninataka kujua utaratibu ulio TUMIKA kuwapat vijana 812 ambao wanatarijiwa kwenda kupewa mafunzo ya kilimo? Ukiweza type data ni wangapi. Waliomba na wangapi wamechukuliwa n wangapi wameachwa na. Sababu za kuwaacha walio achwa ni zipi?

Msingi wa swali langu ni huu, Taifa Ili ni letu site sio tu vijana waliopo ndani ya chama cha mapinduzi ndo wenye Taifa la hasha, kutoka a na ilo tunaitaji kujua kinyume chake madudu yanayofanywa na serikali kutoa 10% ya vijana kwa vijana wa ccm tu SI jambo jema tuna wasi wasi wewe pia kupitia wizara yako unaweza rudia madudu hayo.

Mimi sikuomba mafunzo hayo ila niliwasaidia vijana wengi zaidi ya kumi walioko kijijini kwetu kuwaombea na tulipo kuwa tukituma maombi unaanbiwa maombi YAMEIFDHIWA na hakuna kilichoendelea zaidi ya hapo Leo tunapata taarifa ya kuwa vijana 812 watashiriki mafunzo vijana hao ni wapi?je tukija kwenye kanzu data ya wizara hao vijana waliomba kweli?

Nawasih Takukuru kachunguzeni ilo nalo!mtakuka kunishukuru hapo yamewekwa matoto ya vigogo na mavijana yaliyofeli shule ila yanajificha kwenye kichaka cha UVCCM Ili yasijulikane yakuuwa ni mataila.

Ukitaka kujua kama ni mataila angalia yanapewa mikopo 10% ya vijana na hayarudishi yanalia Bata.
Niliwaambia vijana wanaoenda kwenye hiyo cycle ni uvccm TU! Kama wewe ni kijana na siyo ccm hutoboiiiii!
 
Back
Top Bottom