johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jana kupitia ITV habari tumeshuhudia viwavi jeshi vimeteketeza hekari zaidi ya 4500 za mpunga na mahindi huko Kilombero na wakulima wale wamedai hawana madawa kabisa. Najua mkuu wa wilaya katoa lita 50 za dawa ya kuua wadudu na RC katoa lita 40 jumla lita 90 kwa hekari 4500
Nakushauri Waziri Bashe lifuatilie suala hili kwa karibu na wakulima wale wasaidiwe kupitia kituo cha utafiti Katrini
Ndimi kiona mbali.
Mungu wa mbinguni awabariki wakulima wote!
Nakushauri Waziri Bashe lifuatilie suala hili kwa karibu na wakulima wale wasaidiwe kupitia kituo cha utafiti Katrini
Ndimi kiona mbali.
Mungu wa mbinguni awabariki wakulima wote!