Waziri Bashe, ukijikita kwenye zao la Tumbaku na kusahau Mahindi na Mpunga mwakani utatumbuliwa

Waziri Bashe, ukijikita kwenye zao la Tumbaku na kusahau Mahindi na Mpunga mwakani utatumbuliwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Jana kupitia ITV habari tumeshuhudia viwavi jeshi vimeteketeza hekari zaidi ya 4500 za mpunga na mahindi huko Kilombero na wakulima wale wamedai hawana madawa kabisa. Najua mkuu wa wilaya katoa lita 50 za dawa ya kuua wadudu na RC katoa lita 40 jumla lita 90 kwa hekari 4500

Nakushauri Waziri Bashe lifuatilie suala hili kwa karibu na wakulima wale wasaidiwe kupitia kituo cha utafiti Katrini

Ndimi kiona mbali.

Mungu wa mbinguni awabariki wakulima wote!
 
Back
Top Bottom