Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hivi karibuni Serikali iliahidi kuingiza mchele toka nje ya nchi ili kupunguza makali ya bei ya mchele na nafaka zingine!
Matarajio ya watu wengi ilikuwa ni bei ya mchele kushuka na kuwasaidia watu kuweza kumuda kupata mlo
Sasa imepita miezi zaidi ya miwili lakini bado bei iko pale pale lakini cha kushangaza tuliahidiwa bei itashuka zaidi!
Maswali ya kujiuliza ule mchele ulioingizwa umepelekwa wapi? Au bado uko bandarini?