Kwa hiyo unataka kusema hadi sasa hakuna mchele ulio ingia sokoni toka wametoa vibali? 😂😂😂😂😂Hivi unajua kuwa serikali imetoa vibali na sio kwamba imeingiza mchele???
Government are there for maintaining/equalize the market but not control a market ,incase of inflation and depression they put hands to requlate a market na hapa walisema watatoa vibali ili kupunguza au kuleta unafuu wa bidhaa .
Mind you bei inaweza kushuka sio muda huu na hata baadae ndiyo ikashuka coz hii free market pia wafanyabishara ni washenzi.
Usilazimishe bure
Mchele upo mwingi ila bado stock ya mchele wa mwanzo haujaisha.Kwa hiyo unataka kusema hadi sasa hakuna mchele ulio ingia sokoni toka wametoa vibali? 😂😂😂😂😂
Hussein Bashe akiendelea kuwa Waziri wa Kilimo, basi itafikia wakati tutanunua mchele kilo kwa 7000! Maana mchele wote anaupeleka kwenye nchi ya asili yake, kupitia nchi jirani kwa kisingizio cha soko huria, na pia kuifungua nchi!!Hii kitu wakina Tate Mkuu waliipongeza sana, wakajua mchele utakuja mwingi, wenye quality, tena kwa bei ya chini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo kwenye ushenzi wa Wafanyabiashara hapo ndipo serikali inatakiwa ionekane!Hivi unajua kuwa serikali imetoa vibali na sio kwamba imeingiza mchele???
Government are there for maintaining/equalize the market but not control a market ,incase of inflation and depression they put hands to requlate a market na hapa walisema watatoa vibali ili kupunguza au kuleta unafuu wa bidhaa .
Mind you bei inaweza kushuka sio muda huu na hata baadae ndiyo ikashuka coz hii free market pia wafanyabishara ni washenzi.
Usilazimishe bure
Wanaofaidika na bei kupanda sio huyu mlinda ndege..usidanganyikeKazi mnayo!!! Msikilize mkulima anae tumia shamba na sio simu kulimia.
View attachment 2560064
Usimsingizie Bashe🫣🫣Hussein Bashe akiendelea kuwa Waziri wa Kilimo, basi itafikia wakati tutanunua mchele kilo kwa 7000! Maana mchele wote anaupeleka kwenye nchi ya asili yake, kupitia nchi jirani kwa kisingizio cha soko huria, na pia kuifungua nchi!!
Sasa kama kuna soko huria, waruhusu basi mchele wa kutoka nje uingie nchini, ili na sisi wachumi tuupate kwa bei ya kawaida. Kiukweli sifurahii kabisa kununua kilo ya mchele kwa 3500!! Huku ni kukomoana.
Kijana wa pombe umebaki mkiwa.Usiwaamini wanasiasa mkuu.