Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa wanafunzi kubadili kutoka vyuo kuelekea kidato cha tano kwa sababu mbalimbali Bungeni amesema, wahitimu hao wanapaswa kuripoti katika vyuo au shule walizopangwa wakisubiri taratibu nyingine za kiofisi
Amesema “baada ya wanafunzi kuripoti katika vituo walivyopangiwa, tumetoa wiki 2 na baada ya hapo tutaweza kupata orodha kamili ya wanaohitaji uhamisho, ili tuweze kuiratibu na kuwapangia kwa mujibu wa nafasi zitakazopatikana.