Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Yeye anavyochopa pesa za umma anaona kila mtu anauwezo huoWanaripoti kwa gharama ya nani ?
HakikaYeye anavyochopa pesa za umma anaona kila mtu anauwezo huo
Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa wanafunzi kubadili kutoka vyuo kuelekea kidato cha tano kwa sababu mbalimbali Bungeni amesema, wahitimu hao wanapaswa kuripoti katika vyuo au shule walizopangwa wakisubiri taratibu nyingine za kiofisi
Amesema “baada ya wanafunzi kuripoti katika vituo walivyopangiwa, tumetoa wiki 2 na baada ya hapo tutaweza kupata orodha kamili ya wanaohitaji uhamisho, ili tuweze kuiratibu na kuwapangia kwa mujibu wa nafasi zitakazopatikana.
Yaani utadhani wao hawakupitia huko, ni ujinga mtupu, kwani kama siiji sinaandika tu email.Hapa napo tumepigwa, hamna waziri pale.
Ni shida Hawa viongizi wetu, they are brainless goats sometimes, Sasa hebu niambie mtu Yuko kagera na amepangiwa chuo mtwara dheni unamwambia akaripot huku akisubiri uhamisho, gharama za nauri pamoja na chakula na maradhi for two weeks ni almost 500,000/= hii ni hasara kwa mzaziWanaripoti kwa gharama ya nani ?
Swali la kiwaki, kwani anayetaka hama ni nani?Wanaripoti kwa gharama ya nani ?