Kwani Mkuu wa Mkoa huo hawezi kushuhudia tukio hilo la utiaji saini mkataba mpaka aende huyo Waziri???? Gharama zote za safari ya huyo Waziri ni za nini hasa kama lengo la Safari yenyewe ni kushuhudia utiaji saini kwa mkataba?????BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda Mission (km 7) kwa kiwango cha lami.
Bashungwa amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge Babati Vijijini, Daniel Sillo, leo tarehe 06 Aprili 2024.
Utekelezaji ni zero tupuHawa jamaa kwenye kutia saini wanaongoza ila ishu kubwa kwenye utekelezaji hiyo barabara inaweza ikaishia kwenye makaratasi Hadi 2035
Hapo anawahi rushwa kwa mkandarasi na si kingineKwani Mkuu wa Mkoa huo hawezi kushuhudia tukio hilo la utiaji saini mkataba mpaka aende huyo Waziri???? Gharama zote za safari ya huyo Waziri ni za nini hasa kama lengo la Safari yenyewe ni kushuhudia utiaji saini kwa mkataba?????
Hata diwani angeweza lakini nani atamchukulia rushwa?Kwani Mkuu wa Mkoa huo hawezi kushuhudia tukio hilo la utiaji saini mkataba mpaka aende huyo Waziri???? Gharama zote za safari ya huyo Waziri ni za nini hasa kama lengo la Safari yenyewe ni kushuhudia utiaji saini kwa mkataba?????