Waziri Bashungwa: Barabara ya Mtwara hadi Dar es Salaam kujengwa upya

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.

Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
 
Mods rekebisheni kichwa cha uzi kiwe "Tanzania ina kipimo sahihi zaidi cha kujilinganisha kuliko Marekani na kinatuonyesha tumechelewa sana"
 
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.

Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Kwenye kufananisha demokrasia ya marekani anhaaa utasikia tuna demokrasia yetu mara tusiingiliwe

Serikali ya nchi hii ni futuhi
 
Wajomba zake tu sasha ni miaka ya juzi kati tu hapa wanapata uhuru mfano Qatar 1971 tumewatangulia miaka 10 mbele ila leo wapo wapi na sisi tupo wapi ?

Mpaka mapori tunashindwa kuya manage tunawatafuta wao waliopo huko jangwani

Futuhi hii nchi
 
Kinachotakiwa ni mabadiliko ya fikra, kutoka kwenye serikali zitakazokuwa madalali wa wachina na wageni wengine kwenda kwenye kuwezesha wananchi wake kujenga uchumi na teknolojia ndani kwa ndani.
Kutegemea wageni katika miradi na kandarasi zote za barabara huku tukijisifu ni maendeleo ni kujilisha upepo.
Fikra lazima zibadilike, tunaendeleza China huku tukijisifu.
Maamuzi magumu yanahitajika kufanya mapinduzi ya ki uchumi, bana wageni, pendelea wazawa katika sekta hiyo hiyo kwa akili.
 
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.

Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Mtu akikaa kimya unaweza kufikiri ana akili nzuri, akifungua mdomo ndiyo unajua ni janga
 
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.

Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Amesahau kuwa CCM ipo tangu baada tu ya uhuru lakini wanapenda kuifananisha na vyama vya upinzani!
 
Kinachotakiwa ni mabadiliko ya fikra, kutoka kwenye serikali zitakazokuwa madalali wa wachina na wageni wengine kwenda kwenye kuwezesha wananchi wake kujenga uchumi na teknolojia ndani kwa ndani.
Kutegemea wageni katika miradi na kandarasi zote za barabara huku tukijisifu ni maendeleo ni kujilisha upepo.
Fikra lazima zibadilike, tunaendeleza China huku tukijisifu.
Maamuzi magumu yanahitajika kufanya mapinduzi ya ki uchumi, bana wageni, pendelea wazawa katika sekta hiyo hiyo kwa akili.
Hii kitu wakisikiliza tutaendelea haraka sana, lazima tujenge wenyewe either kwa reverse engineering au kuwaibia technology, billions zinaenda China na hakuna sababu yeyote, tuanze kwenye barabara na TUNAWEZA!!!
 
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.

Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Pigeni hela Wanangu! ile ya Dar-Moro-Iringa-Mbeya inajengwa tangu nanyonya hadi nazeeka
 
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.

Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Dah..mimi nasemaga tatizo la inchi yetu hii ni viongozi isee wengi wa hawa viongozi wamefika nafasi walizonazo kwa uchawa au kibahati bahati tu.
 
Barabara zetu inajengwa leo baada ya miaka mitano inatakiwa kujengwa tena. Kama nchi nj wazi kuwa tuna matatizo ya akili na ndio maana nchi yetu ni masikini.
 
Huyu waziri hata akiongea unaona kabisa ana matatizo kichwani, hazimtoshi.

Hata uwezo wake wa kuongea tu haukujengeka vizuri utotoni
Wa Baridi Sana Kama Ndaza (Pombe Ya Kienyeji Iliyolala)
 
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.

Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436

Unakimbilia kuifananosha USA na TZ kwa kigezo cha umri baada ya uhuru ili kujenga hoja kwamba TZ bado ina umri mdogo, bure kabisa!

Iliyokuwa Tanganyika wakati inapata uhuru ilikuwa ni moja ya nchi za kiafrika ambazo uchumi wake ulikuwa umezipiku nchi nyingi tu ambazo leo zimetuacha mbali sana...

Niliwahi kutazama makala moja ambayo ilirushwa na televisheni ya Taifa (TVT kabla ya kuwa TBC), ilitaja kama Tanganyika ilikuwa na uchumi na maendeleo na kuwa ndani ya 5 bora za Afrika... (makala ikaeleza na sababu za kuporomoka)

Narudia tena, Afrika na Tanzania ili tuendelee tunapaswa kuachana na UJINGA...
 
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.

Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Hawa viongozi wetu kazi ipo sana...kwanini wasijenge hii ya Nangurukuru hadi Liwale ambayo ni ya vumbi? Wabomoe ya lami wakati za vumbi ziko kibao?..

Mambo ya 10%???
 
Barabara zetu inajengwa leo baada ya miaka mitano inatakiwa kujengwa tena. Kama nchi tuna matatizo ya akili na ndio maana ni nchi masikini.
Nimeshangaa bara bara ya Moroko- Mwenge imejengwa juzi tu kwa pesa nyingi na Hayati Dr JPm lakini leo imevumjwa tena.

Hizo pesa jamani mbona wenzetu hawana huruma nazo?
 
Back
Top Bottom