Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
100%TrueHakuna kinachofanywa na ccm, chama kingine kitashindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%TrueHakuna kinachofanywa na ccm, chama kingine kitashindwa.
Ameanza kuwa mjnga , Marekani hata kabla ya uhuru walikuwa zaidi ya tulivyo sasa.Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Umenena vema kabisa!!Kinachotakiwa ni mabadiliko ya fikra, kutoka kwenye serikali zitakazokuwa madalali wa wachina na wageni wengine kwenda kwenye kuwezesha wananchi wake kujenga uchumi na teknolojia ndani kwa ndani.
Kutegemea wageni katika miradi na kandarasi zote za barabara huku tukijisifu ni maendeleo ni kujilisha upepo.
Fikra lazima zibadilike, tunaendeleza China huku tukijisifu.
Maamuzi magumu yanahitajika kufanya mapinduzi ya ki uchumi, bana wageni, pendelea wazawa katika sekta hiyo hiyo kwa akili.
🙋♂️✍️🎯🤝👏👌👍🙏🛡️Kinachotakiwa ni mabadiliko ya fikra, kutoka kwenye serikali zitakazokuwa madalali wa wachina na wageni wengine kwenda kwenye kuwezesha wananchi wake kujenga uchumi na teknolojia ndani kwa ndani.
Kutegemea wageni katika miradi na kandarasi zote za barabara huku tukijisifu ni maendeleo ni kujilisha upepo.
Fikra lazima zibadilike, tunaendeleza China huku tukijisifu.
Maamuzi magumu yanahitajika kufanya mapinduzi ya ki uchumi, bana wageni, pendelea wazawa katika sekta hiyo hiyo kwa akili.
Muongo Akiongea utamwelewa tuSijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Tatizo Tz ni shamba la Bibi ,hatuna plan ya miaka 100 ijayo ,ndiyo maana kina kiongozi akija anakuja na plan zake apige 20% asepe.Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436