Kwenye kufananisha demokrasia ya marekani anhaaa utasikia tuna demokrasia yetu mara tusiingiliweSijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Hakuna kinachofanywa na ccm, chama kingine kitashindwa.Wapuuzi watasema, chadema wangeweza!
Mtu akikaa kimya unaweza kufikiri ana akili nzuri, akifungua mdomo ndiyo unajua ni jangaSijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Amesahau kuwa CCM ipo tangu baada tu ya uhuru lakini wanapenda kuifananisha na vyama vya upinzani!Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Hii kitu wakisikiliza tutaendelea haraka sana, lazima tujenge wenyewe either kwa reverse engineering au kuwaibia technology, billions zinaenda China na hakuna sababu yeyote, tuanze kwenye barabara na TUNAWEZA!!!Kinachotakiwa ni mabadiliko ya fikra, kutoka kwenye serikali zitakazokuwa madalali wa wachina na wageni wengine kwenda kwenye kuwezesha wananchi wake kujenga uchumi na teknolojia ndani kwa ndani.
Kutegemea wageni katika miradi na kandarasi zote za barabara huku tukijisifu ni maendeleo ni kujilisha upepo.
Fikra lazima zibadilike, tunaendeleza China huku tukijisifu.
Maamuzi magumu yanahitajika kufanya mapinduzi ya ki uchumi, bana wageni, pendelea wazawa katika sekta hiyo hiyo kwa akili.
Pigeni hela Wanangu! ile ya Dar-Moro-Iringa-Mbeya inajengwa tangu nanyonya hadi nazeekaSijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Dah..mimi nasemaga tatizo la inchi yetu hii ni viongozi isee wengi wa hawa viongozi wamefika nafasi walizonazo kwa uchawa au kibahati bahati tu.Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Wa Baridi Sana Kama Ndaza (Pombe Ya Kienyeji Iliyolala)Huyu waziri hata akiongea unaona kabisa ana matatizo kichwani, hazimtoshi.
Hata uwezo wake wa kuongea tu haukujengeka vizuri utotoni
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Hawa viongozi wetu kazi ipo sana...kwanini wasijenge hii ya Nangurukuru hadi Liwale ambayo ni ya vumbi? Wabomoe ya lami wakati za vumbi ziko kibao?..Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
View attachment 3136436
Nimeshangaa bara bara ya Moroko- Mwenge imejengwa juzi tu kwa pesa nyingi na Hayati Dr JPm lakini leo imevumjwa tena.Barabara zetu inajengwa leo baada ya miaka mitano inatakiwa kujengwa tena. Kama nchi tuna matatizo ya akili na ndio maana ni nchi masikini.