Waziri Bashungwa: Barabara ya Mtwara hadi Dar es Salaam kujengwa upya

Ameanza kuwa mjnga , Marekani hata kabla ya uhuru walikuwa zaidi ya tulivyo sasa.
 

Aache ujinga. Haiti nimepata uhuru zaidi ya miaka 200.... Lakini wote tunajua kinachoendelea Haiti. Hizo siasa wazifanyie huko huko vijijini na wasirecord na kutuletea hapa.
 
Umenena vema kabisa!!
 
πŸ™‹β€β™‚οΈβœοΈπŸŽ―πŸ€πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™πŸ›‘οΈ
 
Muongo Akiongea utamwelewa tu
 
Serikali ya mama Yao imekuwa ya kipuuzi sana.Maneno mengi vitendo sifuri.kila siku tutafanya hivi lakini hakuna kinachofanyika zaidi ya kuchezea pesa za umma Kwa mambo yasiyo ya msingi
 
Tatizo Tz ni shamba la Bibi ,hatuna plan ya miaka 100 ijayo ,ndiyo maana kina kiongozi akija anakuja na plan zake apige 20% asepe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…