BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO
"Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Kilimo umeleta tija Kubwa sana katika Kilimo chetu Kwa sasa.
Pia Sisi kama JKT tupo mstari wa mbele katika Kuongeza Mawanda katika Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo tutahakikisha tunaongeza Uzalishahi wa zao la Alizeti na Mazao Mengine pamoja na kushirikisha Vijana katika Kilimo ili waweze kujiajili na kuajili Vijana wenzao katika Shughuli za kilimo " - Innocent Bashungwa (Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa)
NaneNaneMbeya2023