MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Matatizo yetu huku mikoani sio mabasi ya mwendokasi.
Maliza kwanza changamoto za hayo mabasi japo Dar. Mengi ni mabovu, machache na hata spika hazifanyi kazi kuwaambia abiria kituo kinachofuata.
Nenda Kimara ongea na wananchi wakupe changamoto za hayo mabasi kisha uzifanyie kazi.
Huku mikoani ulifanya utafiti ukaambiwa changamoto zetu in mabasi ya mwendokasi!!!? ULIDANGANYWA.
Changamoto kubwa no ukosefu wa ajira na ukosefu wa mitaji+tozo. Hizo hela za mabasi to a ajira au kopesha mitaji isiyo na riba kwa wananchi. Sisi tuache tutapanda bajaji!
Najua mnataka kupiga hela za World Bank kwa kisingizio eti Singida wanahitaji Mwendokasi badala ya kuwapa mikopo walime alizeti kisasa!