johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tani hizo hazitaisha tena?Waziri wa viwanda na biashara mh Bashungwa amesema tatizo la sukari sasa limekwisha baada ya shehena ya tani 20,000 kupokelewa jijini Mwanza kutokea Uganda.
Bashungwa amewataka wafanyabiashara kuzingatia bei elekezi na atakayekiuka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.
Source: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Kwani tulikua na tatizo la sukari? Au nilisikia vibaya? si walisema juzi bungeni kuwa hakuna uhaba wa sukari? Hii ni ipi au yule waziri hakuwa wa Tanzania??
Ndio maana huwa sisikilizi wanachoongea hawa watuKuna mwingine alisema sukari inasababisha kisukari
Mwingine akashauri tutumue asali
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja tukipata umeme wa uhakika na wa gharama nafuu wawekezaji wengi watakuja kuwekeza viwanda vikubwa. Bwawa la kuzalisha umeme la mto rufiji likikamilikaNawaza sn hv Uganda ni wakutuuzia sukari sisi kweli. Tuongeze juhudi ya uwekezaji kwenye viwanda jmn