Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Huwa nasema na nitasema tena, wizara aliyopo ni mzigo mkubwa, wazir hata uwe na cv yako nzuri tu, ukipita hiyo wizara ukitoka hapo una tope na sifa mbayaHuyu hatadumu katika wizara hii hatamaliza muhula.
Kila aliyeingia katika 18 za kidini hajawahi kubakia hapo
Angalia waliopita hiyo wizara, mwanzoni walikuwaje baada ya kupita hapo ikawaje