Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.

Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.

Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara1
Labda umwambie apige marufuku vileo vyote nchini tuwe kama iran na saudia kama anao ubavu huo
 
Wanaokunywa wanakuja kukuomba pesa ya kunywea?

Au wanakuomba pesa za kutumia na familia zao?

Acha waburudike nchi ngumu hii mitozo juu, vitu vinapanda bei, usipopombeka unaweza kufa na stress.
 
Back
Top Bottom